BBC News, Swahili - Habari

Habari kuu

Taarifa kuhusu Coronavirus

Tuyajenge

Sikiliza, Udhalilishaji wa kingono nini?, Muda 28,58

Makala haya yanaangazia suala la unyanyasaji wa Kingono nchini Tanzania na kuonesha namna vitendo hivyo vinavyoweza kuleta athari kwa jamii kama visipoepukwa.

Global Newsbeat

Sikiliza, Orodha ya walioteuliwa kuwania tuzo za wasanii wa Afrika AFRIMA, Muda 1,59

Orodha ya wasanii bora waliochaguliwa kuwania mwaka huu ni Burna boy,Fally Ipupa,Wizkid na Aya Nakamura.

Kwa picha: Marekani ilivyokumbuka kwa masikitiko shambulio la 9/11

Makumbusho hayo hufanyika New York, Virginia na Pennsylvania kuwakumbuka watu walioangamia miaka 20 iliyopita.

Dira TV

Vipindi vya Redio

 • Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Oktoba 2021, Muda 1,00,00

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 8 Oktoba 2021, Muda 29,30

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 8 Oktoba 2021, Muda 29,30

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Oktoba 2021, Muda 1,00,00

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • Gumzo mitandaoni

  • Matumizi ya Lugha

   Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

  • Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57

   Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.